Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 350,000,000
Description
Mbagala Chamazi
Yard inauzwa ipo Mbagala Chamazi ukubwa wa kiwanja ni 3000sqmt ina miundombinu muhimu yote kama maji na umeme vipo pia kuna frem za biashara kumi na tano pamoja na nyumba ya vyumba vitatu yard ipo karibu sana na main road ni kilomita moja tu.