🔥🔥🔥 OFA YETU BADO INAENDELEA.
📌Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE MBUTU KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Km 1 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.
👉Ni pazurii Sana, Viwanja vimezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu🥂🍺😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.
☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukubwa wowote unaotaka unapata. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.
🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.
Compare listings
Compare