Business Plots for Sale
-Plots zipo 3 zote zina hati.
-Plots No. 1 – 3 kwenye Barabara kubwa ya Lami ya Bagamoyo Msata.
-Plots zina matumizi haya..
Plot No. 1 Commercial
Plot No. 2 Petrol station
Plot No. 3 Dry port
Zote hizi ni 10 Heka..
-Zipo Mwavi Mbele ya Fukayosi na kabla hujafika Kiwangwa..
-Zipo kwenye kona ya Barabara ya Mkenge.. inayoelekea Kwenye Mashamba ya Mh. Kikwete..
-Umeme upo na Maji yapo..🙏
-Hizi ni Plots 3 nilikiwa zinauzwa kwa bei tatu tofauti..
-Petrol station 450M
-Commercial 400M
-Dry Port 300M
👆👆👆👆👆Ukitaka kwa moja moja kati ya hizi utapunguziwa bei
Sasa Eneo lote hili lina Hati 3 kwa Tsh 800M tu..