#STAND ALONE KUBWAA MNOO!!! Inapangishwa MBEZI MWISHO karibu sana na Stendi ya Mabasi ya mikoani
π Nimeishusha bei sasa Kodi yake ni Tsh 500,000/= *6
#Ina eneo kubwa sana kama mfugaji inakufaa sana hii
____
________
β’ Vyumba 4 vya kulala (Kati ya hivyo vyumba 2 ni Master)
β’ Sebule Kubwa
β’ Jiko
β’ Dinning
β’ Public Toilet
β’ Store
β’ Garage
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Inajitegemea kwenye Fensi Kubwa ya waya yenye get Zuri
* Parking Kubwa mno
#Umbali wa dakika 6 tu kwa miguu kutoka Stend ya mabasi ya mikoani (Magufuli Bus Terminal)
_________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 500,000/=
#Kupelekwa kuona ni Tsh 15,000/=
#0753172516
Compare listings
Compare