Shule inauzwa school for sale

  • USD1,800,000
Mbezi beach

Description

SHULE INAUZWA .
Details. #Shule Ni ya Chekechea na Msingi (baby class – Stardard 7).

# Location piga SIMU kwa maelezo zaid

Jumla Ya Wanafunzi Day& Bording – 450 active.
Shule ina Madarasa Jumla ya 23 kutoka baby class – Standard 7
#Toilets for Both Staff/ Students 16 .
Office za walimi 7 *(Accademic Office 2. *( Accountant Office 1. *( Headmaster Office 1. *( Chairmans Office 1. *( Teachers Office 2. #Office ya Utawala1.
#Laboratory room1.
#Computer room 1.
#Library room 1.
#Dinning Hall 1. ( 200 students fit ). #Jiko Kubwa 1.
#Laundry Block 1
#Dispensary 1 ,( 3 paicient Beds) Nurse office.
#1 Football Ground with Stage . #baby class play Ground.
#Dormitories Boys ( 50 Beds ,2 patron rooms ).
#Dormitories Girls (30 Beds ,1 matron room.

ADA ZA SHULE KUANZIA BABY CLASS – STANDARD 7 #Chekechea Day Kwa Mwaka Ada ni – Tshs 900,000/=.Inalipwa kwa Awam 2 . ya kwanza ni 450,000/= Hii ni Day
#Chekechea Bording Kwa mwaka Ada ni – Tshs 1,020,000/=. Inalipwa law awam 2. Hii ni Day
#Msingi / Pre-Unit – Standard 7 ,kwa Day Ada ni Tshs 1,155,000/= Kwa Mwaka.
# Msingi/ Pre-Unit – Standard 7,Kwa Bording Ada Ni Tshs 2,040,000… Document Zote zipo .

#BEI USD 1.8MILLION
TSHs >>B 4.

  • Address Mbezi beach
  • City DAR ES SALAAM
  • Area Mbezi

Details

Updated on February 7, 2023 at 10:00 pm
  • Property ID: BFR-107194
  • Price: USD1,800,000
  • Land Area: Mbezi beach Sq Mt
  • Bedrooms: 6
  • Bathrooms: 6
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Lucy Gelas
  • Lucy Gelas