kongowe, Kilwa Road, Vikindu, Mkuranga, Pwani, Coastal Zone, Tanzania
TZS 4,500,000,000
Description
Kongowe
Shule inauzwa IPO Kongowe dar es laam kongowe ya mbagala iko full vyumba vya madarasa kumi na sita nyumba za walimu sita bweni za kulaza watoto mianne shule ina ukubwa wa heka kumi na tano Shule ina usajili wa O-level na advance.