Kibaha, Kibaha Town, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
TZS 6,000,000/Per Acre
Description
Shamba linauzwa Kongowe Kibaha Misufini ni km 9 kutoka Barbara kuu ya Morogoro.lina eka tatu na nusu. Bei ni Mil 6 kwa eka moja akichukia lote ni Mil 21 maongezi yapo.