*Shamba la Ekari 7.5 linauzwa VISIGA- MADAFU*
*Distance* Kilometer 2 tu kutoka barabara kuu ya *Morogoro road*
-Ndani ya shamba kuna maji safi ya Dawasa, Nyumba ya wafanyakazi, Miti ya miembe, Minazi ya kutosha pia kwasasa shamba linalimwa Njugumawe na Mahindi.
-Shamba lipo mtaa mzuri sana uliojengeka na watu mashuhuri
barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote
*DOCUMENT* Sales Agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
-Shamba limepimwa *(Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)*
*Bei shilingi milioni 100 maongezi kidogo yapo*
Compare listings
Compare