*Shamba la Ekari 350 linauzwa kijiji cha Mauya-Pangani-Tanga*
*Location* Shamba liko kando ya Mto Pangani.
-Shamba linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji.
-Shamba ni jipya halijatumika na linakubali mazao yote.
-Plot size Ekari 350
-Document; Title Deed
*Bei shilingi milioni 1.3 kwa kila ekari na maongezi yapo*
Compare listings
Compare