KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO MKOA WA PWANI MLANDIZI DISUNYALA
KIWANJA KIPO UMBALI WA KM 4 KUTOKA MORO ROAD STENDI YA MLANDIZI
KIWANJA KIPO MSIKITINI KABLA HUJAFIKA KIWANDA CHA NONDO KILUWAwA BARABARA YA KUELEKEA MZENGA
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 1600
BEI MIL 5 TU
HIKI SI CHA KUKOSA BEI NI OFFA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
BODA ELFU 2000 MPAKA KWENYE KIWANJA BAJAJI 1000
MAJI UMEME VIPO KARIBU SANA
KARIBU SANA MTEJA
Compare listings
Compare