Plot ya Ekari 2.15 inauzwa Mbweni Teta
*Neighbourhood* Eneo limezungukwa na makazi ya watu pamejengeka vizuri.
-Eneo lote limezungurushiwa ukuta ndani kuna jengo halijaisha la vyumba 18 vyote master.
Eneo linafaa kwa ujenzi wa Hospital, Apartment, Hotel au Shule
-Plot size Sqm 9,538
-Document: Title Deed (Electronic)
Bei shilingi Bilioni 1.6 maongezi yapo
Compare listings
Compare