Plot mbili zinauzwa Bunju B njia ya Mabwepande umbali kutoka main road ni 1km
zinashare ukuta
Plot ya kwanza Ina ukubwa wa 480sqmt Ina nyumba ndogo ya vyumba viwili Bei 55m Ina hati miliki
Plot ya pili Ina ukubwa wa 538sqmt Bei 35m Ina hati miliki
Jumla ya eneo Zima Lina ukubwa 1018sqmt