Plot for Sale – USA River, Arusha
Viwanja viwili vinauzwa maeneo ya USA River, Arusha, karibu na Kennedy House International School, moja ya shule maarufu na yenye hadhi kubwa.
Ukubwa wa Eneo:
✅ Viwanja vyote viwili (2) vina ukubwa wa SQM 4,041
Umiliki:
✅ Hati miliki
Umbali:
✅ 1.5 km kutoka lami
Sifa za Kiwanja:
✅ Barabara safi na nzuri
✅ Mazingira ya utulivu wa hali ya juu na hewa safi,
✅ Viwanja vinafaa kujenga nyumba za watalii, (Airbnb, hotels)
✅ Vinafaa kujenga Apartments, villas, mansions etc.
✅ Vinafaa kujenga shule, corporate office etc.
Bei; Kila kiwanja kinauzwa Tz milioni 150
Piga;
Compare listings
Compare