Kituo cha Mafuta Kinauzwa
Kina eneo la ukubwa kama heka moja,
kina pump 6,
ukipita mataa ya kwenda chanika ,
kama unakwenda kisarawe mkono wa kushoto utakiona.
Bei: MILLION 850.
Benk kama Benk wanataka ml 750.
Biashara imenyooka sana na mwenye mali anajua na akihitajika anakuwepo pia.
Nenda kaone kisha njoo mjini.
Pale njia panda ya chanika na kisarawe utakiona.
Mwenyewe yupo Mjini
Compare listings
Compare