Pagale la Gorofa la Kisasa sana linauzwa milioni 75 📍 Lipo (MAPINGA SHULE CENTER)
▫Vyumba Vitano vya Kulala kwa ujumla wake
◇Chini vyumba viwili kimoja master
◇Juu Vyumba Vitatu vyumba viwili master
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 550
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi dawasco yapo na umeme upo karibu kabisa
◇NOTED) UMBALI mita 900 tu kutoka (MAPINGA SHULE) au Bagamoyo road
Compare listings
Compare