Nyumba inauzwa pagale uwanja wa Taifa
Location ya pili toka kona plot
ipo uwanja wa Taifa Temeke ina fesi lami ya Taifa
-Plot size Sqm 600
-Ina title ya zamani ya miaka 33 (Leseni ya makazi)
-Haijaisha muda wake bado
Sehemu ya biashara yoyote Ile pamechangamka sana
-Ukitoka Ile Bar kubwa pale Taifa ya kona inafuata hii nyumba
Bei shilingi milioni 550
Compare listings
Compare