NYUMBA KUBWA ILOJENGWA MFUMO WA VYUMBA VYA KUPANGISHA INAUZWA
NYUMBA IPO KIMARA SUKA GOLALANI DAR ES SALAAM TANZANIA
INA VYUMBA 10
BEI MIL 60 MAONGEZI YAPO
NYUMBA IKO FULL WAPANGAJI KILA CHUMBA NI 50000/MWEZI
UMILIKI – MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
MAJI UMEME VIPO HAPO
PEMBENI KUNA KIWANJA KIMEBAKI BADO KIKUBWA CHAKUJENGA NYUMBA KUBWA YA KISASA
AU ARPATIMENTS NYINGINE
SERVICE CHARGE KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000
KARIBU SANA
Compare listings
Compare