Nyumba inauzwa milioni 80 maongezi yapo ipo sala sala Nyumba inavyumba vitatu kimoja master bedroom sitting room dining room kitchen store public toilet ukubwa wa eneo ni SQMT 700 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa maji dawasco umeme vyote vipo