NYUMBA YA KISASA INAUZWA KUNDUCHI

 • TZS 450,000,000
Kunduchi, Kawe, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
Kunduchi, Kawe, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 450,000,000

Description

Dar es Salaam KUNDUCHI

Nyuma Ya Shule Ya Feza

Nyumba isiyohitaji kupigwa nyundo ya 5bedrooms inauzwa Bei ya kutupwa ina eneo lenye ukubwa wa square meters 2500

Zipo 2Sitting room, gym room, dining room, public toilet, garden, garage, servant quarter, sehemu za kupumzikia mbele baba na nyuma mama, sasa imeporomoka bei kutoka Tshs 800,000,000/-❌

Mmiliki ana shida anataka Tshs 450,000,000/-✅

Nyumba ipo ktk eneo lenye ukubwa wa meters 2500 with title deed✅

Nyumba ipo meters 400 kutoka main road ya lami ilipo LAKE OIL PETROL STATION

 

 • Address Bahari beach
 • City DAR ES SALAAM
 • State/county Tanzania
 • Area Kunduchi

Details

Updated on November 9, 2021 at 5:52 pm
 • Property ID: BFR-42723
 • Price: TZS 450,000,000
 • Property Size: 2500 Sq Mt
 • Land Area: 2500 Sq Mt
 • Bedrooms: 5
 • Bathrooms: 4
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings
BE FORWARD Real Estate Tanzania

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
BE FORWARD Real Estate Tanzania
 • BE FORWARD Real Estate Tanzania