NYUMBA YA KISASA INAUZWA KIBAHA KWA MATIASI.

 • TZS 38,000,000
Kibaha, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA YA KISASA INAUZWA KIBAHA KWA MATIASI.
Kibaha, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 38,000,000

Description

Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 38 maongezi yapo IPO KIBAHA KWA MATIASI – Pwani – Tanzania
Ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kati hivyo Vyumba viwili ni self contenad
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 408
document Sales agreement ( Hati ya mauziano ya selikali za mitaa) Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
maji safi dawasco umeme vyote vip Nyumba ipo ndani ya fensi
Umbali ni kilometre 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro road
Nyumba ipo mkono wa kulia ukuwa unaenda Morogoro na ukitoka mkono wa kushoto
Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana

 • Address Kibaha, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
 • City Pwani
 • Area Kibaha

Details

Updated on April 16, 2024 at 3:37 pm
 • Property ID: BFR-203525
 • Price: TZS 38,000,000
 • Property Size: SQM 408 Sq Mt408
 • Bedrooms: 3
 • Bathrooms: 3
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
ANORD GILMAN
 • ANORD GILMAN