*3 in 1 House inauzwa Tabata Kimanga mwisho*
*Nyumba ya Ghorofa Juu* Ina vyumba vya kulala 2 vyote master bedrooms juu pamoja lounge na Balcony 2 moja kutokea chumba cha master.
*Nyumba ya Ghorofa chini* Ina sitting room, open kitchen na makabati pamoja na public toilet.
*Servant Quarter* Ina chumba na sitting room zinajitegemea pamoja na Veranda.
*Fremu 2 za biashara nje ya nyumba*
*Nyumba ndogo* Ina vyumba 3 vya kulala, chumba 1 master bedroom, jiko la nje, dining, sitting room na public toilet. Pia ina choo cha nje na bafu.
-Kuna Kisima cha Meter 70 pamoja na maji ya Dawasco
-Electrical Fence
*Eneo linafaa kufungua Zahanati, Guest House Lodge pamoja na Bar*
-Plot size Sqm 1,138
-Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 530 maongezi yapo*
Compare listings
Compare