*Nyumba ya Ghorofa yenye vyumba 15 inauzwa Themi Hill-Arusha*
*Distance* Kutoka Off Njiro road mpaka kwenye nyumba ni 100 Meter
-Nyumba ya Ghorofa moja ina vyumba 15 vya kulala, Sitting rooms 4, kitchens 4, dining rooms 2 kubwa, public toilets 4.
*Servant Quarter moja* Ina vyumba 2 vya kulala, kitchen na toilet
-Toilet za nje 2 na Bathroom 1
-Nyumba imechimbwa kisima cha maji.
-Plot size Sqm 5,065
-Document: Title Deed
*Bei shilling Bilioni 3.3 maongezi yapo*
Compare listings
Compare