NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA,MBEZI KWA MSUGURI

  • TZS 450,000,000
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA,MBEZI KWA MSUGURI
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 450,000,000

Description

FOR SALE 450,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA

NYUMBA KUBWA ZURI YENYE HATI MMILIKI INAUZWA MILIONI MIA NNE NA NUSU (450,000,000/= ) MILION

💥 NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

 

  • Address Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Mbezi

Details

Updated on July 30, 2024 at 3:09 pm
  • Property ID: BFR-278262
  • Price: TZS 450,000,000
  • Property Size: 1000 Sq Mt
  • Bedrooms: 6
  • Bathrooms: 4
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Amri Yange
  • Amri Yange