Jengo linauzwa DSM mtaa wa congo jengo la kibiashara sana lina hati ya wizara sgm 300 jengo linamilikiwa na watu wa wawili wako share na kwenye document yanatoka majina mawili ya hao wanaomiliki hilo jengo la congo tower kampuni wameamua kuuza wao wenyewe kwa bei bilioni 13 tsh mnaongea kidogo karibuni sana kuwekeza
Compare listings
Compare