NYUMBA NZURI SANA YA GHOROFA INAUZWA KIMARA KOROGWE.
Ina Vyumba Vitano Vyote Kulala Kati Ya hivyo Vitatu Ni Self Contained
Pia Kuna Servant Quarter Ya Vyumba Viwil Vyote Self Contained
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,300
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Majirani Wamepangika Vyema
Bei : 600 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Compare listings
Compare