NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI

  • TZS 98,000,000
Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBAGALA CHAMAZI
Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 98,000,000

Description

Nyumba ni nzuri sana  ipo mbagala wilaya ya temeke kata ya chamanzi mtaa wa dovyo
Ina vyumba vya kulala 4 viwili ni master bedroom
Ina seating room kubwa, daining room,kitchen.public toilet, store

Maji na umeme ina eneo kubwa square meter (800)
Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi Usha fanyika
Nyumba ina fence.
Kutoka barabara kuu ya rami hadi kwenye nyumba ni dakika (5) tu
Kwa mwendo wa miguu.

  • Address Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City DAR ES SALAAM
  • Area Chamazi

Details

Updated on April 19, 2022 at 1:40 pm
  • Property ID: BFR-46574
  • Price: TZS 98,000,000
  • Property Size: 800 Sq Mt
  • Bedrooms: 4
  • Bathrooms: 2
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Amri Yange
  • Amri Yange