Nyumba inapangishwa sh 500000 kwa mwezi, location tabata kinyerezi mwisho dar es salaam Tanzania
Sifa ya nyumba
Sebule kubwa, vyumba 3 chumba kimojawapo master, jiko kubwa lenye makabati, 2 Aircondition (AC), peving block, parking, fence,feni,hapa kuna apartments 2 tu ndani ya fence
Kwa maelezo zaidi piga sim
☎️ Calls/Whatsapp 0784139933
Service survey change tsh 20000
1 month to agent
Compare listings
Compare