*Nyumba ya gorofa ya vyumba 10 inauzwa Shantytown A-Moshi*
*Neighbourhood* Nyumba ipo kwenye mtaa wa matajiri wakubwa mjini Moshi
*Nyumba ina matoleo ya gorofa kufika 4 (Foundation ya kupeleka Gorofa 4 juu)*
-Nyumba ina vyumba 10 vya kulala master 2 na public toilet 4, sitting room 2, dining na kitchen.
-Eneo lipo uzunguni unaweza kuvunja na kujenga Hotel, Apartment na Hostel kwa ajili ya watalii
-Plot size Sqm 2,700
-Document: Title Deed
*Bei shillingi milioni 530 maongezi yapo*
Compare listings
Compare