NYUMBA INAUZWA IPO GOBA MAKONGO WILAYA YA KINONDONI MKOA WA DAR ES SALAAM
BEI YAKE INAUZWA MILION MIATANO NA HAMSINI (550)MAONGEZI YAPO.
NYUMBA NI YA KISASA SANA WADAU INA KILA KITU CHA KISASA NDANI
INA VYUMBA4 VYOTE MASTER BEDROOM SITTING ROOM DINING ROOM JIKO STOO PUBLIC TOILET MAJI NA UMEME UPO.FUL AC,INA SQM1200 NA UMILIKI WAKE NI HATI YA WIZARA
MAISHA NI NYUMBA.SERVICE CHARGE 50,000
0784139933
0784139933
Compare listings
Compare