NYUMBA nzuri sana ya KISASA sana Inauzwa milioni 220 maongezi kidogo yapo 📍 Ipo GOBA TEGETA (A) – Dar es salaam – Tanzania
▫Vyumba Vitano vya Kulala Vyumba Vitatu ni self Conteinard
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 3000
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi DAWASCO umeme Kisima cha Maji cha Kudumu vyote vipo kwenye nyumba
◇Nyumba ipo kwenye bara kuu ya mtaa Ina FREM 5 ZA BIASHARA
◇Nyumba ina servant cotta pamoja na mabanda ya mifugo mbali mbali
◇Umbali kilomita (2.5) tu kutoka MADALE CENTAR au MADALE ROAD
Compare listings
Compare