Nyumba nzuri ya Kisasa (UNFINISHED) Inauzwa milioni 95 maongezi yapo 📍 IPO *GOBA NJIA NNE* – Dar es salaam – Tanzania
▫Ina Vyumba Vitatu vya Kulala Vyote ni SELF CONTAINED ROOMS
◇Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 738
◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇Pia kuna servant cotta ya Chumba,chumba, na banda la kufugia kuku lenye uwezo wa kubeba kuku 400 wa nyama
◇Maji safi Dawasco umeme vyote vipo ndani ya nyumba
◇Umbali Mita 400 tu kutoka Bara bara ya lami ya Goba road
Compare listings
Compare