Nyumba inauzwa KIGAMBONI Mji Mwema KIBUGUMO mtaa wa MASAKI nyumba no 3 ina vyumba V3 vya kulala vyote ni master bedrooms ina jiko la nje na ndani ina DINING ROOM INA LIVING ROOM public toilet ndani na nje ina umeme maji full time ulinzi wa SECURITY FENS full time INJE ina garden na kibanda cha kupumzikia bei 120 milion maongezi yapo
Compare listings
Compare