NYUMBA NZURI INAPANGISHWA WAZO HILL

  • TZS 600,000

Description

NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA

πŸ’₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 600,000/= X 6

ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Address

  • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on April 16, 2024 at 3:20 pm
  • Property ID: BFR-217214
  • Price: TZS 600,000
  • Bedrooms: 4
  • Bathroom: 1
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
ELIBARICK REAL ESTATE
  • ELIBARICK REAL ESTATE