Ni nyumba classic sana inapangishwa Moshono Arusha
Ni selfu ya two bedrooms room moja master
. Ina public toilet jiko ndani
Ina makabati vyumban na jikon
Wapangaji 3 kila mtu luku yake
Maji umeme vipo masaa yote
Kodi yake kwa mwezi π ni 350000/=
Viewing fee 10,000 tsh
Compare listings
Compare