NYUMBA MPYA INAUZWA MIKOCHENI B

 • TZS 850,000,000
Mikocheni, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
Mikocheni, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 850,000,000

Description

Dar es Salaam ni MIKOCHENI B tu

Ninatangaza kuuza hii Nyumba kwa Tshs 850,000,000/-✅
Negotiations✅

Hii ni Nyumba ya 3bedrooms ipo ktk eneo lenye ukubwa wa square meters 700 with title deed

Ipo master kubwa ya kisasa

Ipo public toilet, kitchen na coridor za miundo tofauti

Nyumba ina parking ya gari kadhaa ndogo na garden nzuri.

Mikocheni B ilipo Nyumba hii, ni jirani mno na Clouds TV .

Price Tshs 850,000,000/-
Negotiations

Nyumba ipo meters 40 kutoka barabara inayopita kwa Mwalimu Nyerere to Kawe na si mbali na clouds kabisa

 • Address Mikocheni B
 • City DAR ES SALAAM
 • State/county Tanzania
 • Area Mikocheni

Details

Updated on November 9, 2021 at 5:52 pm
 • Property ID: BFR-42736
 • Price: TZS 850,000,000
 • Bedrooms: 3
 • Bathrooms: 4
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings
BE FORWARD Real Estate Tanzania

Enquire About This Property

Compare listings

Compare
BE FORWARD Real Estate Tanzania
 • BE FORWARD Real Estate Tanzania