Mbagala Chamazi
Bei raisi sana tsh mil (90) tu
Nyumba ipo mbagala chamaz
Ina eneo zuri Sana kubwa sqm (700)
INA documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vinne vya kulala vyumba viwili ni Masters bedroom
Ina sitting room na daining room ina jiko na store ina public toilet ina maji na umeme
Kama unavyo iyona kwenye picture ndivyo ivyo ivyo ilivyo
Kali Sana hii nyumba