Chanika, R759, Ilala Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, P.O.BOX 76103, Tanzania
TZS 35,000,000
Description
Chanika Mjini
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Chanika Mjini ina vyumba vitatu kimoja master sebule jiko store dining room na public washroom ukubwa wa kiwanja ni 600sqmt maji safi na umeme upo.