Nyumba mbili zinauzwa kwa
pamoja bei 230ml
zipo mbezi mwisho makuti
ukubwa wa kiwanja sqm 600
nyumba zipo mbili katika kiwanja kimoja
■■nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa na seble pia dining
■■nyumba ya pili ni ya kupangisha ina chumba na seble pia single bedroom 3 za elfu 50
■■pamepimwa na kurasimishwa bado hati kuu title deed
service charge 30000
0784139933
0784139933
Compare listings
Compare