Nyumba 2 zinauzwa pamoja milioni 50. Zipo Pugu kwambiki Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Nyumba ya gorofa Ina vyumba 2 kimoja master na sebule. Nyumba ya chini Ina vyumba 2 kimoja master Sebule na jiko. Nyumba zina maji na umeme. Kiwanja Sqm. 1000 Hati ya mauziano ofisi ya serikali ya mtaa.
Compare listings
Compare