NYUMBA GHOROFA IMEKAMATA BARABARA KUU YA LAMI ILALA – (MILLION 320).
Ina Vyumba Vinne (4) Kati Ya Hivyo Viwil Ni Master Pia Juu Kuna Chumba Kimoja Master
Kuna Servant Quarter Ya Chumba Kimoja Na Flemu Ya Biashara
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 520
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote
Bei : 320 Million (Maongezi Yapo )
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Compare listings
Compare