NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA MBEZI KIBANDA CHAMKAA

 • TZS 650,000,000
Featured For Sale
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
Featured For Sale
NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA MBEZI KIBANDA CHAMKAA
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 650,000,000

Description

BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI 650M

πŸ’₯ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 650M

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

πŸ’₯ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30

0784139933

0713657157

 • Address Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on June 10, 2024 at 3:49 pm
 • Property ID: BFR-252006
 • Price: TZS 650,000,000
 • Bedrooms: 6
 • Bathrooms: 6
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
EDWIN ILOMO
 • EDWIN ILOMO