NYUMBA KUBWA NA KIWANJA VINAUZWA DODOMA TANZANIA

  • TZS 1,400,000,000
Dodoma, Dodoma City, Dodoma Region, Central Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA KUBWA NA KIWANJA VINAUZWA DODOMA TANZANIA
Dodoma, Dodoma City, Dodoma Region, Central Zone, Tanzania
  • TZS 1,400,000,000

Description

FURSA YA BIASHARA KATIKATI YA MAKAO MAKUUU YA NCHI DODOMA. HUUU NI HUWEKEZAJI WA KIBABE KABISA.

Eneo ni sq mita 14,933…block K karibu na chuoncha mipango

Vyumba vyote ni self,

= nyumba 5 zina vyumba 8 kila moja jumla ni vyumba 40 kila chumba kimoja ni sq m 21,

= nyumba 1 vyumba 16 kila kimoja sq m 15

vyumba vinameet requirement ya 5 star hotel upon marekebisho madogo yaani

kuweka tiles

umeme umesambazwa kwa ajili ya vitanda, tv na kusomea, na kushave.

Nyumba zote zina line ya maji moto na baridi ni kufunga tu heater.

Ni Katikati ya mji hivyo panaweza pia kufanyika kumbi za sherehe na nyumba zaidi. Kumbi zilizo pahala hapo hujaza watu kila wiki.

Ni pazuri kwa biashara ya shule na chuo pia.

Eneo llilotumika ni theluthi tu, theluthi 2 bado haina kitu.

Kila jengo lina mita yake ua maji na umeme.

Lina wapangaji hivyo unanunua na wateja wake waliopo. Halikosi wateja.

Imekaa kimkakati. Ni katikati ya chuo cha mipango, chuo cha madini, chuo cha ufundi cha don bosco, seminari ya don bosco, makao makuu ya jeshi kibaoni

Panaweza kufanyika taasisi ya aina yoyote.

Kuna kisima kina maji muda wote na kuna maji ya duwasa.

Eneo lina hati……. Bei 1.4 B Maingezi yanakaribishwa mezani. Karibuni nyote.

  • Address Dodoma, Dodoma City, Dodoma Region, Central Zone, Tanzania
  • City Dodoma
  • Area Dodoma

Details

Updated on December 18, 2024 at 4:34 am
  • Property ID: BFR-398861
  • Price: TZS 1,400,000,000
  • Property Size: 14933 Sq Mt
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings
PETER REALESTATE

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
PETER REALESTATE
  • PETER REALESTATE