Nyumba imeshuka bei kutoka million 85 mpaka million 50 nyumba ipo Vikindu vianzi nyumba ni ya kisasa kabisa ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari na mabanda za nje kwajili ya kufugia kuku nyumba ina umeme na maji yapo bila kusahau kiyoyozi kwa maelezo zaidi tupigie simu. 0713245449