Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Sinza Mori umbali wa 1km kutoka barabara kuu nyumba ina hati miliki ina ukubwa 264sqmt ipo jirani na Wanyama Hotel ina vyumba vinne viwili ni master bedroom ina sebule jiko dining parking kubwa ya kutosha.
Compare listings
Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.