Nyumba inauzwa na bank sqm 640 Ina vyumba v3 sebule daining jiko chumba master public nyumba ipo umbali wa miter 30 tu kutoka barabara ya lami itokayo mbezi kuelekea kinyerezi bei mil 75 maongezi kidogo maji umeme poa
Karibu mbezi malamba kwa hakimu