nyumba inauzwa ipo mbweni ubungo ipo mitaa mizuri sana bei inauzwa milioni 160 maongezi yapo nyumba ina vyumba vitatu pia kwa pembeni kuna nyumba ya vyumba viwili na flem kwa mbele za biashara ukubwa wa eneo sqmt 550 nyumba ina hati miliki ya wizara
……………………………………………………………………………………….
#Call au what’s up
Compare listings
Compare