NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE

  • TZS 90,000,000
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 90,000,000

Description

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE YA KISASA

🌟 NYUMBA HII YA KUUZWA INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA

#NYUMBA HII INA MPANGAJI ANALIPA KODI LAKI 3 KWA MWEZI
#PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA SEBULE

UKUBWA WA KIWANJA CHAKE NI UPANA NI 25 METERS NA UREFU NI 30 METERS ( 25/30 METERS)

DOCUMENTS: MAUZIANO HALALI YA KISHERIA NA SERIKALI YA MTAA / ENEO LIMEPIMWA

BEI NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA

πŸ’«πŸ’« NYUMBA HII YA KUUZWA IPO MBEZI BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NJIA INAYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 TUU UPO KWENYE NYUMBA

NOTE:- ENEO LIMEPIMWA NA KWENYE NYUMBA KUNA MPANGAJI ANALIPA SHILINGI LAKI 3 KWA MWEZI

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 50000

0784139933

0784139933

  • Address Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam

Details

Updated on February 5, 2025 at 1:16 am
  • Property ID: BFR-427795
  • Price: TZS 90,000,000
  • Bedrooms: 3
  • Bathrooms: 3
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
EDWIN ILOMO
  • EDWIN ILOMO