NYUMBA INAUZWA MBEZI MSAKUZI

  • TZS 85,000,000

Description

NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MSAKUZI

NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC VYUMBA VYOTE MASTER

ENEO SQM 1100

NYUMBA IPO MTAA MZULI SANA

NYUMBA IPO UMBALI WA KM 2 TOKA BARABARA KUU YA MPIJI MAGOE

NYUMBA IPO KWENYE MLADI MKUBWA WA VIWANJA 300 NA VYOTE VINA HATI

NYUMBA ZIMEJENGWA KIMPANGILIO SANA

UKIWA HAPO KUNA KIWANJA CHA HOSPITAL POLICE SOKO KIWANJA CHA MICHEZO

VYOTE UTAVIONA KWENYE LAMANI YA HAPO

BEI MIL 85 MAZUNGUMZO

NYUMBA IMEJENGWA KIUMAZUBUTI SANA

KIWANJA KINA UKUBWA WA MITER 25 x55

MAJI UMEME VIPO HAPO

KARIBU UMILIKI MJENGO BADO UPO

Address

  • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on February 12, 2024 at 4:13 pm
  • Property ID: BFR-183748
  • Price: TZS 85,000,000
  • Property Size: 1100 Sq Mt
  • Bedrooms: 3
  • Bathrooms: 3
  • Property Type: House
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
ELIBARICK REAL ESTATE
  • ELIBARICK REAL ESTATE