Nyumba inauzwa ipo mbezi malamba mawili kingazi nyumba ya vyumba vitatu, sebule jiko, daining public chumba master eneo sqm 400 Bei mil 50 maongezi yapo nyumba ipo umbali wa km 3 toka barabara ya lami mbezi kinyerezi kiwanja kimepimwa hati bado karibu mbezi malamba ni mbezi ya kimara