NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS

 • TZS 600,000,000
Featured For Sale
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
Featured For Sale
NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 600,000,000

Description

🚨🚨NYUMBA INAUZWA 🚨🚨
Mkoa: Dar es Salaam
Wilaya: Ubungo
Kata: Mbezi Luis
Mtaa: Makabe (4km kutoka stand mpya ya MAGUFULI, Morogoro RD.)

1.Nyumba ni ya ghorofa Kama inavyoonekana.

2.Ukubwa wa kiwanja ni 2208 sqm na HATI MILIKI ipo.

3.Vyumba
CHINI: Vya kulala vitatu kila kimoja ni self contained,sebule ya chini ina choo pia.

KATIKATI: Vya kulala VITATU viwili self contained, kimoja kinatumia public toilet.
KATIKATI pia ndo kwenye Sebule,Dining,Jiko na stoo.

JUU:‐Kuna master bedroom kubwa na chumba kimoja kama study room.

 • Address Mbezi Luis
 • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on July 9, 2022 at 1:27 am
 • Property ID: BFR-69014
 • Price: TZS 600,000,000
 • Property Size: 2208 Sq Mt
 • Land Area: 2208 Sq Mt
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings
BE FORWARD Real Estate Tanzania

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
BE FORWARD Real Estate Tanzania
 • BE FORWARD Real Estate Tanzania